Kiguruntum-Mbaaru ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Waguruntum na Wambaaru. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kiguruntum-Mbaaru imehesabiwa kuwa watu 15,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiguruntum-Mbaaru iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiguruntum-Mbaaru kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.