Kihovongan (pia Kipunan-Bungan) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wahovongan kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kihovongan imehesabiwa kuwa watu 1000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihovongan iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihovongan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.