Kijadgali

lugha ya Kihindi-Kiulaya izungumzwayo nchini Pakistan na Iran

Kijadgali ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan inayozungumzwa na Wajadgali. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kijadgali imehesabiwa kuwa watu 15,600. Pia kuna wasemaji 10,000 nchini Iran (2012). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kijadgali kiko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kijadgali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.