Kikachama-Ganjule ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wakachama na Waganjule, makabila mawili ambao huzungumza lugha moja. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kikachama-Ganjule imehesabiwa kuwa watu 4070, yaani Wakachama 2680 na Waganjule 1390. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikachama-Ganjule iko katika kundi la Kiomotiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikachama-Ganjule kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.