Kikalasha ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan inayozungumzwa na Wakalasha. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kikalasha imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikalasha iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikalasha kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.