Kikambera (pia Kisumba-Mashariki au Kihilu-Humba) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakambera kwenye kisiwa cha Sumba. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kikambera imehesabiwa kuwa watu 240,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikambera iko katika kundi la Kisumba-Hawu.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikambera kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.