Kikaningkom-Nindem

Kikaningkom-Nindem ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waninkyob na Wanindem. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kikaningkom-Nindem imehesabiwa kuwa watu 12,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikaningkom-Nindem iko katika kundi la Plateau.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikaningkom-Nindem kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.