Kikanuri ni jina la kundi la lugha za Kinilo-Sahara nchini Nigeria, Niger, Chad na Kamerun. Idadi ya wasemaji wa lugha zote za Kikanuri inakaribia watu milioni nne. Baadhi ya lugha za Kikanuri kuna Kikanuri ya Kati, Kikanuri-Manga na Kikanuri-Tumari. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikanuri kiko katika kundi la Kisahara la Mashariki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikanuri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.