Kikanuri-Manga ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Niger na Nigeria inayozungumzwa na Wakanuri. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kikanuri-Manga nchini Niger imehesabiwa kuwa watu 280,000. Pia kuna wasemaji 200,000 nchini Nigeria. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikanuri-Manga iko katika kundi la Kisahara ya Mashariki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikanuri-Manga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.