Kikisi-Kusini ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Liberia na Sierra Leone inayozungumzwa na Wakissi. Lugha nyingine ya Kikisi ni Kikisi-Kaskazini nchini Guinea. Lugha hizo mbili zisichanganywe na lugha ya Kikisi nchini Tanzania. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kikisi-Kusini nchini Liberia imehesabiwa kuwa watu 115,000. Pia kuna wasemaji 85,000 nchini Sierra Leone. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikisi-Kusini iko katika kundi la Kiatlantiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikisi-Kusini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.