Kikoorete ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wakoorete. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kikoorete imehesabiwa kuwa watu 157,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikoorete iko katika kundi la Kiomotiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikoorete kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.