Kikpagua ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati inayozungumzwa na Wakpagua. Wataalamu wengine huiangalia kuwa lahaja ya Kibanda ya Kati. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikpagua imehesabiwa kuwa watu 3830. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikpagua iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikpagua kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.