Kikrahn-Magharibi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Liberia na Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Wakrahn. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kikrahn-Magharibi nchini Liberia imehesabiwa kuwa watu 53,200. Pia kuna wasemaji 12,200 nchini Cote d'Ivoire. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikrahn-Magharibi iko katika kundi la Kikru.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikrahn-Magharibi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.