Kikulon-Pazeh ilikuwa lugha ya Kiaustronesia nchini Taiwan iliyozungumzwa na Wakulon-Pazeh. Hakuna Wakulon-Pazeh siku hizi ambazo wangeweza kuongea lugha ya Kikulon-Pazeh, yaani lugha yao imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikulon-Pazeh iko katika kundi la Kiformosa-Kaskazini-Mashariki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikulon-Pazeh kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.