Kikurdi (kwa lugha hiyo: کوردی, Kurdî, tamka: [ˈkuɾdiː]) ni kundi la lahaja za Kiajemi zinazotumika na Wakurdi wengi (milioni 20-30 hivi) huko Mashariki ya Kati.

Ni lugha rasmi mojawapo katika nchi ya Iraq, lakini katika nchi nyingine, hasa Syria, hairuhusiwi au inazuiwa katika matumizi kadhaa.

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
 
Wikipedia
Kikurdi ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
 
Wikipedia
Soranî Kurdish ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru

  Kurdish travel guide kutoka Wikisafiri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikurdi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.