Kikwak ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wakwak. Idadi ya wasemaji wa Kikwak haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikwak iko katika kundi la Kibantoidi linalofanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikwak kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.