Kilele ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Chad inayozungumzwa na Walele. Isichanganywe na lugha ya Kilele inayozungumzwa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kilele imehesabiwa kuwa watu 26,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilele iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilele (Chad) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.