Kilepcha ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi, Nepal na Bhutan inayozungumzwa na Walepcha. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kilepcha nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 50,600. Pia kuna wasemaji 7500 nchini Nepal (2011) na wasemaji 2000 nchini Bhutan (2006). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kilepcha iko katika kundi lake lenyewe la Kilepcha.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilepcha kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.