Kilezgi ni lugha ya Kikaukazi ya Kaskazini nchini Urusi inayozungumzwa na Walezgi. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kilezgi nchini Urusi imehesabiwa kuwa watu 402,000. Pia kuna wasemaji 178,000 nchini Azerbaijan (1999) na wengine nchini Georgia. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilezgi iko katika kundi la Kilezgiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilezgi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.