Kiliguria ni mojawapo kati ya lugha za Kihindi-Kiulaya inayozungumzwa na watu 450,000 hivi hasa Italia Kaskazini Magharibi, lakini pia Monako, Ufaransa na kokote walikohamia watu kutoka eneo hilo asili, k.mf. Argentina.

Kihistoria asili yake ni lugha ya Kilatini, hivyo inahesabiwa kati ya lugha za Kirumi.

Viungo vya nje hariri

 
Wikipedia
Kiliguria ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiliguria kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.