Kilimani ni kata ya Wilaya ya Mbinga Mjini katika Mkoa wa Ruvuma, Tanzania, yenye postikodi namba 57402.

Kata ya Kilimani
Nchi Tanzania
Mkoa Ruvuma
Wilaya Mbinga Mjini
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 14,594

Kilimani ina vijiji vifuatavyo: Kilimani, Sepukila, Mhekela, Ludisha, Mkwaya na Njomlole.

Katika sensa iliyofanyika mwaka 2022 wakazi walihesabika kuwa 14,594 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 11,529 waishio humo.[2]

Kati ya huduma za jamii kuna shule za msingi 6, shule ya sekondari ya Mkwaya, zahanati za Mkwaya na Sepukilo na gereza la Mkwaya.

Zao la biashara ni kahawa. Mazao ya chakula ni pamoja na mahindi, ndizi, magimbi na maharagwe.

Marejeo hariri

  Kata za Wilaya ya Mbinga Mjini - Mkoa wa Ruvuma - Tanzania  

Bethrehemu | Kagugu | Kihungu | Kikolo | Kilimani | Kitanda | Luhuwiko | Lusonga | Luwaita | Masumuni | Matarawe | Mateka | Mbambi | Mbangamao | Mbinga Mjini | Mbinga Mjini B | Mpepai | Myangayanga | Utiri


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Ruvuma bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kilimani (Mbinga) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.