Kiloarki ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan inayozungumzwa na Waloarki. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kiloarki imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiloarki kiko katika kundi la Kiaryan. Wengine huiangalia kuwa sawa na lugha ya Kilohar ya Gade nchini Uhindi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiloarki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.