Kiluri ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Waluri. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kiluri imehesabiwa kuwa watu wawili tu. Kwa hiyo lugha ya Kiluri imekaribia kutoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiluri iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiluri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.