Kimada ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wamada. Isichanganywe na lugha ya Kimada inayozungumzwa nchini Kamerun. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kimada imehesabiwa kuwa watu 100,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimada iko katika kundi la Plateau.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimada (Nigeria) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.