Kimagahi ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi na Nepal inayozungumzwa na Wamagahi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimagahi nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu milioni 14. Pia kuna wasemaji 35,600 nchini Nepal Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimagahi iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimagahi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.