Kimeru (au Kirwa) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Warwa. Isichanganywe na lugha ya Kimeru nchini Kenya. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kimeru imehesabiwa kuwa watu 90,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimeru iko katika kundi la E60.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimeru (Tanzania) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.