Kimundari (Uhindi)

Kimundari ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uhindi, Bangladesh na Nepal inayozungumzwa na Wamundari. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimundari imehesabiwa kuwa watu 1,110,000. Pia kuna wasemaji 2500 nchini Bangladesh (2005) na 7780 nchini Nepal (2006). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimundari iko katika kundi la Kimunda. Wengine hudai kwamba hakuna tofauti kati ya Kimundari na Kimunda.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimundari (Uhindi) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.