Kimuong ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Vietnam inayozungumzwa na Wamuong. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kimuong imehesabiwa kuwa watu milioni 1.14. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimuong iko katika kundi lake lenyewe la Kimuong.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimuong kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.