Kinauru ni lugha ya Kiaustronesia nchini Nauru inayozungumzwa na Wanauru. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kinauru imehesabiwa kuwa watu 6000 lakini idadi imeendelea kupungua. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinauru iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinauru kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.