Kinkem-Nkum ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wankem na Wankum. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kinkem-Nkum imehesabiwa kuwa watu 34,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinkem-Nkum iko katika kundi la Kiekoidi linalofanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinkem-Nkum kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.