Kiod ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan inayozungumzwa na Waod. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kiod imehesabiwa kuwa watu 58,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiod kiko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiod kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.