Kipalula (au Kiphalula) ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan inayozungumzwa na Wapalula. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kipalula imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kipalula kiko katika kundi la Kidardiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipalula kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.