Kipepeo tarakilishi

Katika utarakilishi, kipepeo tarakilishi (kwa Kiingereza: computer fan) ni kifaa kinachotumika kupepelea vijenzi ndani ya tarakilishi. Kwa mfano kipepeo tarakilishi kinaweza kupepelea vifaa kama bongo kuu, bodimama au kiendeshi diski kuu.

Vipepeo viwili vya tarakilishi.

Marejeo hariri

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).
  Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.