Kipitjantjatjara

lugha ya asili ya Australia

Kipitjantjatjara ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wapitjantjatjara katika majimbo ya Northern Territory, Australia Kusini na Australia Magharibi. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kipitjantjatjara 2660. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipitjantjatjara kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipitjantjatjara kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.