Kipuyuma ni lugha ya Kiaustronesia nchini Taiwan inayozungumzwa na Wapuyuma. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kipuyuma imehesabiwa kuwa watu 8490. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipuyuma iko katika kundi lake lenyewe la Kipuyuma.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipuyuma kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.