Kiromblomanon ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Waromblomanon kwenye visiwa vya Romblon, Sibuyan na Tablas. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kiromblomanon imehesabiwa kuwa watu 94,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiromblomanon iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiromblomanon kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.