Kisaamia (au Olusamia) ni lugha ya Kibantu inayozungumzwa na Wasaamia nchini Uganda na Kenya. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kisaamia nchini Uganda imehesabiwa kuwa watu 335,000. Pia kuna wasemaji 125,000 nchini Kenya (2009). Kisaamia ni lahaja mojawapo ya Kiluhya, yaani Wasaamia ni kabila moja la Waluyia. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kisaamia iko katika kundi la J30 (zamani iliitwa E30).

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisaamia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.