Kisapo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Liberia inayozungumzwa na Wakrahn. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kisapo imehesabiwa kuwa watu 36,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisapo iko katika kundi la Kikru.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisapo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.