Kisidamo (pia Kisidaama) ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wasidamo. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kisidamo imehesabiwa kuwa watu 2,980,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisidamo iko katika kundi la Kikushi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisidamo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.