Kisikaritai ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wasikaritai. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kisikaritai imehesabiwa kuwa watu 800. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisikaritai iko katika kundi la “Lakes Plain”.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisikaritai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.