Kisiwa cha Viktoria (Kanada)

Kisiwa cha Viktoria (Kanada) ni kisiwa kikubwa cha eneo la kaskazini mwa Kanada (Nunavut na Northwest Territories).

kisiwa Cha Viktoria

Kinapatikana katika Bahari ya Aktiki kikiwa na ukubwa wa kilometa mraba 217,291, ila wakazi 1,707 tu.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kisiwa cha Viktoria (Kanada) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.