Kiskoti (kwa lugha hiyo: Gàidhlig) ni kati ya lugha za Kiselti, tawi la lugha za Kihindi-Kiulaya.

Ramani inayonyesha lugha za Kiselti zinapotumika hadi leo au zilipotumika katika karne za mwisho:      Ireland (Kieire)      Scotland (Kiskoti)      Isle of Man (Kimanksi)      Wales (Kiwelisi)      Cornwall (Kikornishi)      Brittany (Kibretoni)

Wanaoijua ni watu 60,000 hivi, hasa nchini Uskoti, lakini pia Kanada.

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiskoti kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.