Kisui ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina inayozungumzwa na Wasui. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kisui imehesabiwa kuwa watu 300,000 nchini Uchina. Pia kuna wasemaji 120 nchini Vietnam (2002). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisui iko katika kundi la Kikam-Sui.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisui kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.