Kitakasa (kutoka vitenzi vya Kibantu kutakata, kutakasa; kwa Kiingereza: disinfectant) ni misombo ya kemikali inayotumika ili kuharibu vimelea.

Kitakasa kikitumika juu ya sakafu.

Marejeo hariri

  • Kwanza, T. (2001). Kamusi Ya Kiswahili-Kiingereza. Taasisi YA Uchunguzi Wa Kiswahili Chuo Kikuu.