Kitamili ni lugha ya Uhindi inayojadiliwa hasa kwenye jimbo la Tamil Nadu pamoja na kaskazini ya Sri Lanka. Ni kati ya lugha kubwa za dunia yenye wasemaji zaidi ya milioni 70.

Uenezaji wa wasemaji wa Kitamili
Mwandiko wa Kitamili kwenye ukurasa wa jani la mnazi

Kitamili huhesabiwa kati ya lugha za Kidravidi ambazo ni lugha asilia za Uhindi.

Kitamili imeandikwa tangu zaidi ya miaka 2000. Mfano ya kale ni ni mwandiko kwenye miamba ya mwaka 254 KK. Ni lugha ya pekee yenye umri mkubwa kama huu inayoendelea kutumiwa mfululizo hadi leo.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitamil kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.