Kitigre ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Eritrea na Sudan inayozungumzwa na Watigre. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kitigre nchini Eritrea imehesabiwa kuwa watu 1,050,000. Pia kuna wasemaji wachache nchini Sudan mpakani ambapo lugha huitwa Kixasa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitigre iko katika kundi la Kisemitiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitigre kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.