Kitulu ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Watulu. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kitulu imehesabiwa kuwa watu 1,720,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitulu iko katika kundi la Kidravidi ya Kusini.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kitulu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.