Kiturkana ni lugha ya Kinilo-Sahara inayozungumzwa na Waturkana nchini Kenya. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kiturkana ilihesabiwa kuwa watu 989,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha wa ndani zaidi, Kiturkana kiko katika kundi la lugha za Kiniloti.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiturkana kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.