Kiuduk (pia Kitw'ampa) ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan na Sudan Kusini inayozungumzwa na Wauduk. Idadi ya wasemaji wa Kiuduk imehesabiwa kuwa watu 22,000, yaani nchini Sudan na Sudan Kusini pamoja. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiuduk iko katika kundi la Kikomuz.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiuduk kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.