Kiushojo ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan inayozungumzwa na Waushojo. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kiushojo imehesabiwa kuwa watu 2000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiushojo kiko katika kundi la Kidardiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiushojo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.